

Mnadhifishaji Tukio la 2: Ruko
MnadhifishajiFormat
Audiobook
Listen anywhere
$2.99
Support the people who made thisYour purchase supports the people who made this work
Description
Roland Benito, ambaye anakifanyia kazi Kitengo Huru cha Malalamiko kuhusu Polisi, ametumwa pamoja na mfanya kazi mwenza kwenda kuwahoji maafisa wawili wa polisi ambao wameitika mwito wa hali ya dharura. Mlinzi mmoja wa jela amejirusha kutoka kwa dirisha ya chumba chake kilicho katika orofa ya nne, punde tu maafisa hawa wawili wanapowasili baada ya kupata malalamishi kuhusu muziki wa sauti ya juu kutoka kwa chumba hicho. Kwa mtazamo wa juu, hakuonekani kuwa na jambo lolote la kukisiwa kuhusu hali hii ila pale inapotambulika kuwa mlinzi huyu wa
Product details
- Publisher
- SAGA Egmont
- Narrated by
- James Wetaka
- Release date
- June 27, 2019
- Length
- 1 h 18 min
- Total file size
- 36 MB
- Audio
- 38 chapters
- Edition
- Unabridged
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9788726270884
||
Ratings & reviews









