

Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya
MnadhifishajiFormat
Audiobook
Listen anywhere
$2.99
Support the people who made thisYour purchase supports the people who made this work
Description
Anne Larsen anatambua kuwa wakili yule wa utetezi aliyefariki alikatiza kazi yake muda mfupi tu baada ya kushindwa katika kesi, na kuwa mteja wake, ambaye alikuwa ni Patrick Asp aliyeua mtoto mdogo alikuwa amehukumiwa kufungwa jela. Baba yake wakili huyu wa utetezi ambaye alikuwa jaji wa mahakama ya juu ametoweka na hajapatikana alipo. Anne yupo kwenye jela ili kumhoji askari jela kuhusiana na mfungwa aliyefariki kutokana na kunywa dawa kupita kiasi, wakati Patrick Asp kwa usiri anaweza kumpa barua. Patrick Asp ameandika kuwa alifungwa kimakosa
Product details
- Publisher
- SAGA Egmont
- Narrated by
- James Wetaka
- Release date
- June 27, 2019
- Length
- 1 h 23 min
- Total file size
- 38 MB
- Audio
- 41 chapters
- Edition
- Unabridged
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9788726270860
||
Ratings & reviews









