

Mnadhifishaji
MnadhifishajiFormat
Audiobook
Listen anywhere
$9.99
Support the people who made thisYour purchase supports the people who made this work
Description
Bertram na marafiki zake watatu wameanzisha genge ndogo la majambazi linaloitwa The Hawks. Anaishi peke yake na mama yake, anayefanya kazi kama mhudumu hotelini. Hamkumbuki baba yake sana, kwa kuwa alikamatwa kwa makosa ya mauaji na kufungwa kifungo cha maisha Bertram akiwa umri wa miaka misaba pekee. Siku moja, Bertram aliiba jaketi ya ngozi ya bei ghali yenye chapa ya “Schott Made in USA” kutoka kwa mkahawa, ambayo ilimletea matokeo mabaya sana, na si kwa Bertram pekee. Rolando Benito, mpelelezi katika Mamlaka ya Malalamiko ya Polisi, na
Product details
- Publisher
- SAGA Egmont
- Narrated by
- James Wetaka
- Release date
- June 27, 2019
- Length
- 7 h 39 min
- Total file size
- 210 MB
- Audio
- 226 chapters
- Edition
- Unabridged
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9788726270907
||
Ratings & reviews









