Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha

Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha

Mnadhifishaji
Format
Audiobook
Listen anywhere
$1.99
Support the people who made thisYour purchase supports the people who made this work

Description

Habari mpya katika kesi hii inamfanya Roland kuangalia tena mauaji ya mlinzi yule wa jela. Kwa sasa ana uhakika kuwa anamfahamu Uwe Finch na anaamua kumfahamisha Anne Larsen. Anne ndiye alipata michoro ya vidole vya Uwe Finch, na kwa muda uliopita, Roland ametambua kuwa Anne anaweza kuwa mtu wa msaada mkubwa katika uchunguzi wa polisi. Bertram anashtuka kutambua kilichomfanyikia mama yake ila kwa mara moja Anne Larsen, mwanahabari kutoka TV2 East Jutland, anafika. Bertram anaangua kilio mbele ya Anne huku akimueleza mambo yote na Anne

Product details

Publisher
SAGA Egmont
Narrated by
James Wetaka
Release date
June 27, 2019
Length
1 h 11 min
Total file size
32 MB
Audio
35 chapters
Edition
Unabridged
Language
Swahili
ISBN
9788726270846
||
Ratings & reviews