

Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha
MnadhifishajiFormat
Audiobook
Listen anywhere
$2.99
Support the people who made thisYour purchase supports the people who made this work
Description
Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi The Handler, ambaye huwalipa baada ya wao kuvunja maduka na kuuba fanicha bainifu za bei ghali pindi The Handler anapopata agizo kutoka kwa wateja wake. Bertram anaishi yeye na mama yake pekee anayefanya kazi kama mhudumu katika mkahawa. Mamake Bertram anaamini kuwa Bertram anapata pesa zake kutokana na kuwasilisha magazeti. Bertram hawezi kukumbuka mambo mengi kuhusu baba
Product details
- Publisher
- SAGA Egmont
- Narrated by
- James Wetaka
- Release date
- June 27, 2019
- Length
- 1 h 16 min
- Total file size
- 35 MB
- Audio
- 37 chapters
- Edition
- Unabridged
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9788726270891
||
Ratings & reviews









