Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Format
Audiobook
Listen anywhere
$0.99
Support the people who made thisYour purchase supports the people who made this work

Description

"Nilihamia Barcelona hivi karibuni, na simjui mtu yeyote zaidi ya wafanyakazi wenzangu katika kituo changu kipya cha kazi. Wao ndio ambao waliniambia kuhusu bwawa la umma. Katika moja ya mabwawa, mwanaume mmoja alikuwa akitambaa kwa mbele. Nikajirusha kwenye maji kisha nikafumbua macho. Mwanaume mkakamavu na mwenye nguvu. Matako yake yalikaza pale miguu yake ilipokuwa inaingia kwenye maji. Nikakiweka kichwa changu juu ya maji tena, na kushika pembe ya bwawa kwa mkono mmoja. Pale mwanamme alipokuwa anasogea mbali yangu, nikairuhusu mkono wangu

Product details

Publisher
SAGA Egmont
Narrated by
Saida Maina
Release date
June 27, 2019
Length
22 min
Total file size
10 MB
Audio
12 chapters
Edition
Unabridged
Language
Swahili
ISBN
9788726270914
||
Ratings & reviews